‘Kenya itakuja kufurahi’ – President Ruto promises new dawn ahead of cabinet naming
President William Ruto has promised the country a new dawn when he forms his next cabinet.
Currently, there is no cabinet after Ruto dissolved it following public pressure, and while speaking in a church service at Ndogino in Nyandarua County on Sunday, July 14, 2024, the Head of State promised to constitute a transformative government.
“Naona mmechangamka sana na pia mimi niko stedy kabisa na Kenya tutaisimamia vizuri mpaka Kenya hii ibadilike.
“Mniombee ndio nipange kabisa nipate wafanyi kazi watakaonisaidia kutimiza ahadi ambazo tuliwekeana mimi na nyinyi. Tunataka ku transform taifa letu la Kenya. Hatuwezi kuwa na nchi ambayo inaendelea kukopa madeni kiholela. Madeni karibu inazamisha nchi yetu.
The president likened the ongoing turmoil his government is facing to child labour and said a time of joy will follow next.
“Nyinyi wamama mnajua saa ya kuzaa mtoto si rahisi iko maneno hapo. Sasa ndio hii Kenya tunajaribu kusimamisha, ndio hii msukosuko mnaona kidogo. Lakini saa ile mtoto amepatikana si mambo inakuwa sawasawa, na furaha inakuwa tele? Kwa hivyo msikuwe na wasiwasi.
“Huyu mtoto wa transformation ya Kenya, tutaizalisha, na Kenya itakuja kufurahi. Si mimi nimefungua ukurasa mpya, sasa mimi nitapanga kabisa hii serikali iko hapa mbele,” he continued.
This promise comes a day after he said he would form a cabinet with a national outlook in order to unite the country.
“Na kwa hivyo mimi nimesema nitaongea na viongzi wote tuungane na tuhakikishe tunatengeneza serikali ambayo itabeba wakenya wote. Na itafanya kazi sio ya ubinafsi, sio ya chama fulani, sio ya kikundi fulani, na sio ya sehemu fulani,” he said while addressing members of the public in Kaptagat in Elgeiyo-Marakwet County on Saturday, July 13, 2024.
Stalled projects
Meanwhile, Ruto promised to restart and complete projects that had stalled. He blamed the Finance Bill 2024’s failure to see the light of day for a lack of money to complete the projects.
“Najua hapa tumekuwa na matatizo ya barabara na imeleta shida, sio? Hio maneno ya barabara nilikuwa nimeipangia vizuri lakini kuna watu walinitega hapo wakaniangusha kidogo. Lakini sawa tu, nitarudia hio mtihani tena.
“Zile zingine zilikwama nilikuwa nimepangia katika ile Finance Bill ambaye ilichimba chini, lakini nitafanya hio mtihani tena, nione vile itapita,” he concluded amid jubilation from the congregants at the church.
For these and more credible stories, join our revamped Telegram and WhatsApp channels.
Telegram: https://t.me/peopledailydigital
WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Va698juDOQIToHyu1p